Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 618
- 1,440
Huwezi kuamini muda huu upo kazini kuna mtu mzima kabisa na meno 32 limekaa linapigia hesabu mshahara wako ambao hata wewe mwenyewe haukutoshi.
Afrika ukiwa ni lijinga lisiloheshimu kipato chako, unapata marafiki wengi sana lakini ukiamua kuwa na nidhamu kwa kila senti yako, wanasema ni mbahili una roho mbaya. Maneno siyo mishale, sunda kibunda chako.