Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 618
- 1,440
Kama jina langu linavyo jielezaπWe kweli kinyamkela
Wakina Logikos wanasema wabongo wana utu sana, wanajaliana kuliko wazungu.Huwezi kuamini muda huu upo kazini kuna mtu mzima kabisa na meno 32 limekaa linapigia hesabu mshahara wako ambao hata wewe mwenyewe haukutoshi. Afrika ukiwa ni lijinga lisiloheshimu kipato chako, unapata marafiki wengi sana lakini ukiamua kuwa na nidhamu kwa kila senti yako, wanasema ni mbahili una roho mbaya. Maneno siyo mishale, sunda kibunda chako.
Nchi huru hii acha apige hesabuKama jina langu linavyo jielezaπ
Kwa jasho la mwingine πππππππ½ββοΈππ½ββοΈNchi huru hii acha apige hesabu
Hii sikusemaπππUmesema Wagerasi walimpa hela ya nauli Yesu?
Mmh uongo wale mbona walifukuza akatembea kwa miguu mpaka Yordani akapata lifti ya mtumbwi mpaka ng'ambo ya bahari ya Galilaya!
π€π€
Aya mambo yapo mkuu ndo mana nayaweka apaHuu uzi umenifanya nicheke kwa nguvu. Nipo kweli ofisini na kuna mwamba kanitumia msg sasa hivi kuwa haelewi mazingira ya kwake nimtoe hata na elfu 20.
Kilichonifanya nicheke ni huyu mwamba ana wake wawili (kaongeza mke mwingine wiki iliyopita) na kila siku majigambo yake ni kuwa hawezi kuajiriwa ila hana kazi yeyote ya maana zaidi ya 'mission town'.
Bongo ina vituko sana, unaweza kuta mtu anafyatua kwa kasi sana lakini kukopa au kugongea pesa ya mlo wa familia ndio mfumo wa maisha yake!Huu uzi umenifanya nicheke kwa nguvu. Nipo kweli ofisini na kuna mwamba kanitumia msg sasa hivi kuwa haelewi mazingira ya kwake nimtoe hata na elfu 20.
Kilichonifanya nicheke ni huyu mwamba ana wake wawili (kaongeza mke mwingine wiki iliyopita) na kila siku majigambo yake ni kuwa hawezi kuajiriwa ila hana kazi yeyote ya maana zaidi ya 'mission town'.
Hii fuvu kama ndo uliyo itumia shule basi mzazi ama mlez alipata hasara,wap nimeandika hao watu ulio waorodhesha wewe mkuu pambana kula Kwa jasho lako usipendwe kupewa pewa ovyo Kuna kina Mr DIDDY nkWewe ni broke person ambaye hauna financial freedom na upo na circle kubwa ya watu ambao mnajitafuta .
Hivyo haya ndo madhara
-kuhisi unanyonywa
-kuhisi watu wabaya
-Hasira and mood swings
Unachobidi kuwa nacho usiishi Kwa kutegemea salary peke yake hiyo huitwa Rat race (mbio za panya)
Unaamka
Unaenda kazini
Unarudi nyumbani
Unalala
This is bullshit life you need to be more creative in life
MTU kuupigia hesabu mashahara wako ambao haufiki hata mil 10 means umezungukwa na masikini wengi (consumers) you don't need to hate them but use them in positive way .
Tunahitaji watu Sana in our life Ila jitahidi aina gani ya watu unawahitaji hii itakusaidia Sana .
Hata omba omba ana thamani
Mlevi ana thamani
Mvuta bangi Ana thamani
Kwani kupitia ulevi kuna watu wanatajirika Kwa kuuza pombe refer to Mlokozi n.k
Kwamba kwa wazungu haya hayatokei ?Wakina Logikos wanasema wabongo wana utu sana, wanajaliana kuliko wazungu.
Kama nilivyoandikaHii fuvu kama ndo uliyo itumia shule basi mazazi ama mlez alipata hasara,wap nimeandika hao watu ulio waorodhesha wewe mkuu pambana kula Kwa jasho lako usipendwe kupewa pewa ovyo Kuna kina Mr DIDDY nk
Dah!...labda anaongea utani tu, wengine mnachukulia kweli.Huu uzi umenifanya nicheke kwa nguvu. Nipo kweli ofisini na kuna mwamba kanitumia msg sasa hivi kuwa haelewi mazingira ya kwake nimtoe hata na elfu 20.
Kilichonifanya nicheke ni huyu mwamba ana wake wawili (kaongeza mke mwingine wiki iliyopita) na kila siku majigambo yake ni kuwa hawezi kuajiriwa ila hana kazi yeyote ya maana zaidi ya 'mission town'.