super mimi JF-Expert Member Joined Oct 21, 2016 Posts 223 Reaction score 172 Dec 26, 2016 #1 kwa wale wenye imani tu.,,,.mimi naamini nitakuwa kitandani nasoma kitabu...karibuni wadau tujuzane unaamini muda kama huu kesho utakuwa wapi na unafanya nini..........????????
kwa wale wenye imani tu.,,,.mimi naamini nitakuwa kitandani nasoma kitabu...karibuni wadau tujuzane unaamini muda kama huu kesho utakuwa wapi na unafanya nini..........????????
Mgboss JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 497 Reaction score 278 Dec 26, 2016 #2 Hamna muda kama huu duniani