Katika pitapita yangu mtaani siku ya leo nmekutana na vijana wengi wa kidato cha nne wakizunguka huku na kule kusaka walau zilizovuja bila mafanikio, hali hii imenifanya nikumbuke miaka kadhaa iliyopita ambapo muda kama huu kulikuwa na pepa nying sana mtaan na watu walikuwa wanapata wakati mgumu sana kung'amua ipi feki ipi origino. Nakupongeza mama pale wizarani, walau umejaribu kuzuia huku kuvuja.