Muda muafaka mchungaji Mastahi kuhamishwa KKKT Kimara

Muda muafaka mchungaji Mastahi kuhamishwa KKKT Kimara

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Viongozi wa kanisa kama mlivyofanya kwa mchungaji Kimaro fanyeni na kwa mchungaji Wilbroad Mastahi wa kimara KKKT.

Huyu mchungaji anaonekana ana ushawishi na ni mpenda naendeleo, amepadilisha sana Kimara, sasa ni muda muafaka kutumia uzoefu wake wa kimara kuboost makanisa mengine.

Mpelekeni hata Mbagala au Gongo la Mboto huko wanahitaji watu aina yake.
 
Back
Top Bottom