tenanzinyo
Member
- Dec 28, 2012
- 64
- 23
Jf doctor naomba kujua mwanamke aliyejifungua anatakiwa akae muda gani kabla ya kuanza kufanya tena Mapenzi?Nauliza hivi kwa kuwa kumekumekua maelezo tofauti tofauti Wengine wakisema harusiwi mpaka miezi sita,wengine mitatu na wengine siku arobaini!Huku wengine wakisema unaruhusiwa lkn sharti utumie kinga kondomu!Kwahyo jf doctor naomba unipembulie pumba na mchele!