Muda muafaka wa kufanya Mapenzi na Mwanamke aliyejifungua

tenanzinyo

Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
64
Reaction score
23
Jf doctor naomba kujua mwanamke aliyejifungua anatakiwa akae muda gani kabla ya kuanza kufanya tena Mapenzi?Nauliza hivi kwa kuwa kumekumekua maelezo tofauti tofauti Wengine wakisema harusiwi mpaka miezi sita,wengine mitatu na wengine siku arobaini!Huku wengine wakisema unaruhusiwa lkn sharti utumie kinga kondomu!Kwahyo jf doctor naomba unipembulie pumba na mchele!
 
Ni wiki sita kutoa muda wa mwanamke kupona majeraha aliyopata wakati anajifungua maana kuna michubuko na kutoa muda viungo vyingine kurudia hali yake ya kawaida
 
tupe na wewe data zako hii ni sayansi.
kwa kawaida ni mpaka apone kwamfano kuna wengine wanajifungua kwa operesheni ambao hawa nafikiri huchukua muda kidogo kupona kidonda, na hata kama amejifungua kwa njia ya kawaida kuna wale ambao huongezewa njia na hivyo hushonwa kama atapata matibabu mazuri basi ndani ya mwezi mmoja anaweza akafanya tendo la ndoa.

kwa maana hiyo itategemea atapona baada ya muda gani maana wakati mwingine mshono labda utachukua muda mfupi kupona au mrefu kwa mimi nijuavyo hakuna muda muafaka cha msingi ni kusubiri mpaka pale atakapokuwa amepona kabisa sina uthibitisho wowote wa kisayansi hii ni obsearvation method nliyoitumia mimi sio lazima ukubaliane nayo na wewe unaweza ukafanya utafiti wako.
 
Siku 7 baada ya kujifungua ila awe kila siku anakanda na maji asubuh kwa jion
 
Mpaka ishara za matamanio zitakaporejea kwa mwanamke


Kaabah;
Hili ndilo jibu mujarab kwa sababu, yeye ndiye ana hamu. Hata kama ni jioni ya siku hiyo. Akijisikia, aingie mchezoni. Yeye mwanamke; sio mumewe aanze kumshika shika. Sio vizuri, kwani yabidi umpe nafasi apone ndani.
Pia, angalia usifanye kwa manjonjo yote bali jaribu tu kumwingia taratibu na muda si mrefu atazoea na kufurahia tena kama zamani zileeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…