I was locked upπππ
Basi ntajitahidi kwenda na flowTaratibu Lizarazu...huku upo chit chat[emoji85].
Magazeti yako hatuyahitaji[emoji28]
Dah...ulimisiwa huku.I was locked up[emoji4][emoji4][emoji4]
Ndio.Basi ntajitahidi kwenda na flow
Yapi hayo?Ndio.
Usianze Yale magazeti yenu.
Msije badili Uzi bure[emoji23][emoji23]
Magazeti yako pendwaYapi hayo?
Ok sawaMagazeti yako pendwa
nakuja mama mkwe alafu nimekakumbuka kweli.Huko pm mbona kwangu hawaji [emoji1745]
Bundle! Masai una vijimambo weweHutumii maneno mazuri kwenye nyuzi...
Hakimisha ukiqoutiwa uanze na maneno matamu kama babe,hubby, darling, kisuza roho changu, bundle mjibu post, n.k
Naomba nije PM Agatha. BTW, swala letu la out hulichukulii siriazHizo pm mnatumiana wenyewe tu
Duuu una uzoefu wakutoshaIla chitchat nzuri sana, unazoeana na mtu kiaina, mara paaap mnazama pm, mara paaap mmepeana code za watsapp, mara paaap date ya kwanza inafanyika kwenye bar moja karibu na nyumba ya wageni. Mtu anavuliwa kyupi just like that. How sweet[emoji23]
UnanibaniaNaomba nije PM Agatha. BTW, swala letu la out hulichukulii siriaz
Sina uzoefu wowote, ila hiyo ndio sequence na series ya jinsi ya kunyakua kimwana toka jf.Duuu una uzoefu wakutosha
Sijawahi kubana, sina tabia ya kubana hata siku moja.Unanibania
DuuuuuuSina uzoefu wowote, ila hiyo ndio sequence na series ya jinsi ya kunyakua kimwana toka jf.
Sasa mbona unaninyima ule mtaji?Sijawahi kubana, sina tabia ya kubana hata siku moja.