Two storey?
Hyo inaitwa ghorofa moja mkuu na sio gorofa mbili.Ghorofa 2. Ninataka kusema, una entry level halafu storey ya kwanza. Two levels bro
Mbona nyumba siyo ya kisasaKujenga nyumba ya aina hii sasa kunachukua muda gani ? Na fedha gani. Mkoa wa Tanga.
View attachment 1107883
Bainisha mahitaji katika nyumba hiyo au unataka kujenga kwaajiri ya nini ili nikupgie makadilio.First floor na vyumba 6
Nina nyumba ya 12m kwa 10.6m nitatumia bati ngapi kuezeka pamoja na mbao , bila kusahau misumali ya bati na ya kenchiMkuu, wewe una sh ngapi? Niambie bajeti yako nijue kama inatosha au haitotosha...
Nilitaka sema...ova unahifadhia ulezi bwan..no!Mbona nyumba siyo ya kisasa