Uzuri Mkiujaza uwanja Simba ndio inapata mapato zaidi. Hizo hela za kiingilio si mchangie Yanga jamaniHabari Wakuu!
Wanayanga tupo? Mimi ndo natoka zangu maeneo kazini kwangu naelekea Uwanja wa Taifa kushuhudia mtanange wa kihistoria kati ya Simba dhidi ya Al Ahly.
Ninatumaini kuwa kwa pamoja wanayanga tutaonesha ushabiki uliotukuka kuwashabikia waarabu pale Taifa.
Tuwahi wanayanga kufika Uwanjani ili tupate siti za kutosha, tusisahau kubeba maji ya kunywa kwa ajili joto, jezi zetu za Yanga bila kusahau Maziwa lita moja kwa ajili ndugu zetu mashabiki wa Simba ili kwamba wakinywa sumu tuwawahi na maziwa.
Ahsante Saana!
saa 10 kamili mkuuSaa ngapi mtanange utaanza?
saa 10 kamili mkuu
huna uzalendo , beberu we !Habari Wakuu!
Wanayanga tupo? Mimi ndo natoka zangu maeneo kazini kwangu naelekea Uwanja wa Taifa kushuhudia mtanange wa kihistoria kati ya Simba dhidi ya Al Ahly.
Ninatumaini kuwa kwa pamoja wanayanga tutaonesha ushabiki uliotukuka kuwashabikia waarabu pale Taifa.
Tuwahi wanayanga kufika Uwanjani ili tupate siti za kutosha, tusisahau kubeba maji ya kunywa kwa ajili joto, jezi zetu za Yanga bila kusahau Maziwa lita moja kwa ajili ndugu zetu mashabiki wa Simba ili kwamba wakinywa sumu tuwawahi na maziwa.
Ahsante Saana!
hah haaa,mbona mnyonge sanaWamebahatisha sana, ila bado wanasafari ndefu sanaa...Vita anakuja, simba ataenda algeria...
haponi mtu hapo....
Vivaa Wydad Casablanca