Midumare Ngatuni Iwato
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 1,653
- 2,045
Salaamu ndugu zangu na imani kubwa sana wote wanajamii forum kwa mapendo makuu ya Muumba wetu na imani mpo salama
Nauliza kwa kutaka kujua kuwa nikipindi gani kizuri cha kwenda aja kubwa
Je asubuhi au mchana au usiku na baada ya Masaa mangapi kwenda Ajakubwa.
Asanteni naombeni ushauri
Subiri upate mvurugiko wa tumbo ndo utajipangia muda wa kwenda kuharishaSalaamu ndugu zangu na imani kubwa sana wote wanajamii forum kwa mapendo makuu ya Muumba wetu na imani mpo salama
Nauliza kwa kutaka kujua kuwa nikipindi gani kizuri cha kwenda aja kubwa
Je asubuhi au mchana au usiku na baada ya Masaa mangapi kwenda Ajakubwa.
Asanteni naombeni ushauri
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] uongo Kaka, kama bata??3 times a day
[emoji23] [emoji23]Kwa maisha ya sasa ukienda mara mbili unashukuru maana umekula vizuri, wengi ni mara moja tu
Maana asubuhi unakula chapati au slice mbili na chai mchana sembe na dagaa mchele wa buku usiku kiepe na soda utegemee uende mara tatu huwezi ni mara moja tu tena choo kigumu maana maji ya kunywa wengi hatunywi
Ila kwa kawaida ni mara tatu ukila vizuri
Kama haikusumbui na hupati maumivu ya Tumbo huo ndio mfumo wako wa kutoa uchafu mwilini.Mimi toka nizaliwe nasema kweli jamani
Toka nipate Akili sijawai kwenda choo chakawaida Mara mbili au tatu
Mimi no maramoja kwa siku au Mara moja kwa masaa 72,mfano hapa toka Jana asubhi sijaenda Ajakubwa
Nakula vema kbsa
Sijui Tatizo nini
Naombeni msaada wenu sana ndugu zangu
Asante sana,maana awa wanaokwenda maratatu kwa Siku nashangaa sana,ila nikienda nakaa kama Dakika Kumi ndio namaliza taratibu zangu zote zakawaidaKama haikusumbui na hupati maumivu ya Tumbo huo ndio mfumo wako wa kutoa uchafu mwilini.