Watajazana balaa, mf ,mimi wananiambiaga kabisa ile nyumba yako ikiisha ntakuletea mwanangu aje aishi kwako..Hao ndugu zako wanakuandama na kukulazimisha ujenge ili waje kuishi kwako.Shituka
Muda sahihi ni pale utakapokuwa naJamani mwenzenu nipo katika nyumba yakupanga kwa miaka mitano (5) sasa tangu nimeoa naishi kwenye nyumba ya kupanga, ndugu wananiandama nijenge afu mwenyewe naona bado muda wangu wa kujenga.
Sasa, naomba jamani tuambiane hapa ni upi muda sahihi wa kujenga hasa kwasisi tuliopo Dar.
Muda sahihi wa kujenga nyumba ni unapokuwa na uwezo (fedha) wa kujenga.Jamani mwenzenu nipo katika nyumba yakupanga kwa miaka mitano (5) sasa tangu nimeoa naishi kwenye nyumba ya kupanga, ndugu wananiandama nijenge afu mwenyewe naona bado muda wangu wa kujenga.
Sasa, naomba jamani tuambiane hapa ni upi muda sahihi wa kujenga hasa kwasisi tuliopo Dar.
Ondoa kwanza ujinga, ndio jenga nyumba.... Kwa akili za kushikiwa inabidi upange tu mileleJamani mwenzenu nipo katika nyumba yakupanga kwa miaka mitano (5) sasa tangu nimeoa naishi kwenye nyumba ya kupanga, ndugu wananiandama nijenge afu mwenyewe naona bado muda wangu wa kujenga.
Sasa, naomba jamani tuambiane hapa ni upi muda sahihi wa kujenga hasa kwasisi tuliopo Dar.
Jamani mwenzenu nipo katika nyumba yakupanga kwa miaka mitano (5) sasa tangu nimeoa naishi kwenye nyumba ya kupanga, ndugu wananiandama nijenge afu mwenyewe naona bado muda wangu wa kujenga.
Sasa, naomba jamani tuambiane hapa ni upi muda sahihi wa kujenga hasa kwasisi tuliopo Dar.
Kwema mkuu? 🤔Muda sahihi wa kujenga nyumba ni unapokuwa na uwezo (fedha) wa kujenga.
Kwema kabisa mkuu. Uchaguzi umefanya mada nyingine zisionekana sana hivyo members kupotezana.Kwema mkuu? 🤔
Haaaaa, kura yako kesho ya muhimu sana Boss wangu, tunataka mabadiliko ya kweliKwema kabisa mkuu. Uchaguzi umefanya mada nyingine zisionekana sana hivyo members kupotezana.
mimi nianza kujenga nikiwa nina 25Jamani mwenzenu nipo katika nyumba yakupanga kwa miaka mitano (5) sasa tangu nimeoa naishi kwenye nyumba ya kupanga, ndugu wananiandama nijenge afu mwenyewe naona bado muda wangu wa kujenga.
Sasa, naomba jamani tuambiane hapa ni upi muda sahihi wa kujenga hasa kwasisi tuliopo Dar.
Jenga ukiwa na nguvu na uwezo....huo muda unaoona bado ukifika utakuwa huna uwezo wa kujenga tenaJamani mwenzenu nipo katika nyumba yakupanga kwa miaka mitano (5) sasa tangu nimeoa naishi kwenye nyumba ya kupanga, ndugu wananiandama nijenge afu mwenyewe naona bado muda wangu wa kujenga.
Sasa, naomba jamani tuambiane hapa ni upi muda sahihi wa kujenga hasa kwasisi tuliopo Dar.
Huna usongo kuliko mimi mkuu. Sijui ni kwa nini lakini hisia zote zinanituma niamini kuwa mwisho wa uovu umekaribia. Hata kama siyo kwa sanduku la kura kesho lakini kuna kitu kisichotegemewa kitakwenda kutokea ili kuiokoa Tanzania. Kumekuwepo na utapeli wa hali ya juu wa wenye nguvu kumkebehi Mungu waziwazi kwa kujifanya ni wafuasi wake wema wakati gizani ni wauaji wakubwa. Ukishaona watu wamelewa madaraka kiasi cha kumkebehi Mungu ujue mwisho uko karibu kabisa.Haaaaa, kura yako kesho ya muhimu sana Boss wangu, tunataka mabadiliko ya kweli