Safi Sana mkuu wanguHuna usongo kuliko mimi mkuu. Sijui ni kwa nini lakini hisia zote zinanituma niamini kuwa mwisho wa uovu umekaribia. Hata kama siyo kwa sanduku la kura kesho lakini kuna kitu kisichotegemewa kitakwenda kutokea ili kuiokoa Tanzania. Kumekuwepo na utapeli wa hali ya juu wa wenye nguvu kumkebehi Mungu waziwazi kwa kujifanya ni wafuasi wake wema wakati gizani ni wauaji wakubwa. Ukishaona watu wamelewa madaraka kiasi cha kumkebehi Mungu ujue mwisho uko karibu kabisa.
Mi nadhani muda sahihi unaendana na priority ya mtu husika pia ,inaweza kuwa ukawa na uwezo lakini priority zako zisiwe kwenye kujenga na inaweza ukawa kwenye nyumba ya kupanga na priority ulizoset zikawa zinakuendea vyema tu na ukajanga kujanga mara moja tu kama kumsukuma mleviJamani mwenzenu nipo katika nyumba yakupanga kwa miaka mitano (5) sasa tangu nimeoa naishi kwenye nyumba ya kupanga, ndugu wananiandama nijenge afu mwenyewe naona bado muda wangu wa kujenga.
Sasa, naomba jamani tuambiane hapa ni upi muda sahihi wa kujenga hasa kwasisi tuliopo Dar.
Wee endelea kuishi kwenye nyumba za kupanga, maana inavyoonekana huna hata pesa ya tofali 50..labda anza kujenga banda la kuku..Jamani mwenzenu nipo katika nyumba yakupanga kwa miaka mitano (5) sasa tangu nimeoa naishi kwenye nyumba ya kupanga, ndugu wananiandama nijenge afu mwenyewe naona bado muda wangu wa kujenga.
Sasa, naomba jamani tuambiane hapa ni upi muda sahihi wa kujenga hasa kwasisi tuliopo Dar.
Unapojisikia.Jamani mwenzenu nipo katika nyumba yakupanga kwa miaka mitano (5) sasa tangu nimeoa naishi kwenye nyumba ya kupanga, ndugu wananiandama nijenge afu mwenyewe naona bado muda wangu wa kujenga.
Sasa, naomba jamani tuambiane hapa ni upi muda sahihi wa kujenga hasa kwasisi tuliopo Dar.
Kulipa kofi?Utakapo feel pinch ya maumivu ya kulipa Kofi utajenga tu
Ewaaa!!!!,kaburi sawa,lkn nyumba ya kuishi ukiwa duniani lazima ukomae .Kaburi ndo nyumba ya milele, na haujengi wewe... utajengewa!