PrincessAnne
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 1,875
- 2,224
Anhaa kumbeeKiongozi Haa
Huyo Mdudu Anawatokea Tu Walengwa Hafungwi
Hivyo Siyo Rahisi Kuwa Naye Pia Alipokuwa Hapo Hatukujua Lolote Mpaka Huyo Anayejua Ana Maana Gani Ndiyo Akatufafanulia
Mie kilasiku nawauwa hao wadudu nawaogopa nahis dunia inajuaHuku kwetu huwa tunamuita vunja chungu
Kiswahili sahihi ni jinsi ya mtoto. Sio jinsia ya mtoto.
Jibu lako linaendana na username yakoLabda kiswahili cha uganda.
Jibu lako linaendana na username yako