Muda sahihi wa kunywa maji

Muda sahihi wa kunywa maji

Edo

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2008
Posts
727
Reaction score
93
Correct timing to drink water, will maximize its effectiveness on the Human body.

Two (02) glass of water - After waking up - Helps activate internal organ
One (01) glasses of water - 30 minutes before meal - Help digestion
One (01) glass of water - Before taking a bath - Helps lower blood pressure
One (01) glass of water - Before sleep - To avoid stroke or heart attack
 
je kuna utaratibu wa kunywa maji kabla ama baada ya kushiriki ndoa.
 
jamani mie huwa napenda sana kunywa maji kila nikiamka lakini kila nikijaribu nayatapika yote harafu nakuwa mgonjwa kabisa
nifanyeje?
 
jamani mie huwa napenda sana kunywa maji kila nikiamka lakini kila nikijaribu nayatapika yote harafu nakuwa mgonjwa kabisa
nifanyeje?

Anza kunywa kiasi kidogo kidogo kwanza mpaka uzoee ndio unywe hizo glass zinazotakiwa. Kwa asubuhi baada ya kuamka, maji vuguvugu ni mazuri zaidi-kabla ya kupiga mswaki
 
Anza kunywa kiasi kidogo kidogo kwanza mpaka uzoee ndio unywe hizo glass zinazotakiwa. Kwa asubuhi baada ya kuamka, maji vuguvugu ni mazuri zaidi-kabla ya kupiga mswaki

asante sana Edo hii itabidi niianze kesho asubuhi
 
jamani mie huwa napenda sana kunywa maji kila nikiamka lakini kila nikijaribu nayatapika yote harafu nakuwa mgonjwa kabisa
nifanyeje?

FL1 piga mswaki kwanza kabla ya kunywa maji uamkapo!
 
mimi maji kwangu ni kama dawa kwa kweli nakunywa kwa kujilazimisha sana despite knowing its importance in the body!!!!

ntashukuru kwa usahuri wa kunisaidia kuepuka hili tayizo la kukwepa kunywa maji please (am very serious on this)
 
mimi maji kwangu ni kama dawa kwa kweli nakunywa kwa kujilazimisha sana despite knowing its importance in the body!!!!

Ntashukuru kwa usahuri wa kunisaidia kuepuka hili tayizo la kukwepa kunywa maji please (am very serious on this)

sio lazima maji kama maji.
Tengeneza juice ya matunda fresh unywe kama lita 2 mpaka
4 kwa siku...

Upo mrembo?????nime kumiss kiaina....
 
sio lazima maji kama maji.
Tengeneza juice ya matunda fresh unywe kama lita 2 mpaka
4 kwa siku...

Upo mrembo?????nime kumiss kiaina....

NIPO HANDSOME. nimekumis kweli kweli pia!!!! juice nakunywa ila sijafika lt 4 kwa siku bt if that can be better than water ntakunywa kwa kweli!!!! asante mtanashati!!!!!
 
nipo handsome. Nimekumis kweli kweli pia!!!! Juice nakunywa ila sijafika lt 4 kwa siku bt if that can be better than water ntakunywa kwa kweli!!!! Asante mtanashati!!!!!

poa.karibu sana...

Kunywa juice sana,epuka soda au juice za viwandani....

Karibu siku moja nikutengenezee juice
special for u......just for u..
Pure and natural..
 
jamani mie huwa napenda sana kunywa maji kila nikiamka lakini kila nikijaribu nayatapika yote harafu nakuwa mgonjwa kabisa
nifanyeje?
huwa unafanya mazoezi kila siku au? ni vizuri ukajenga tabia ya kufanya mazoeziatleast mara 5 kwa wiki na baada hapo nina huakika mwili wako utaweza kuchukua glass mbili za maji ukiamka kabla ya kitu chochote.na usinywe ya baridi sana.

na nasikia si vizuri kunywa maji wakati wa kula inakuwa inaingilia digestion ya chakula.unaweza kunywa maji nusu saa baada kula chakula kama ni lazima sana basi kunywa kidogo mno wakati wa kula.
 
na nasikia si vizuri kunywa maji wakati wa kula inakuwa inaingilia digestion ya chakula.unaweza kunywa maji nusu saa baada kula chakula kama ni lazima sana basi kunywa kidogo mno wakati wa kula.
Mimi bado nahitaji maelezo ya kina kwenye ili. Na sababu kubwa ni mazoea
 
jamani mie huwa napenda sana kunywa maji kila nikiamka lakini kila nikijaribu nayatapika yote harafu nakuwa mgonjwa kabisa
nifanyeje?

hIyo ni kawaida kidogokidogo

Swali

Angalia mtoto mdogo huwa kila akiamka anahitaki maji ya kunya na pia hunya bila matatizo

Je kwa nini kila anapozi kukuwa anaanza kupunguza na kucha kabisa?
 
bht, kula vitu vya kukutia kiu kama vile mihogo, viazi vitamu, korosho, karanga, yaani vile vitu ambavyo ukila tu kidogo unasikia kiu ya kunywa maji.
Unaweza ukaweka ndimu kwenye maji yako kuyapa ladha kidogo.
 
........Sina muda maalumu wa kunywa maji ,mie kila muda nina chupa ya maji mkononi, usiku tu nikilala ndio naachana na chupa ya maji.
 
Mimi bado nahitaji maelezo ya kina kwenye ili. Na sababu kubwa ni mazoea
Ok see the details below.
WATER THERAPY
It is popular in Japan today to drink water immediately after waking up every morning. Furthermore, scientific tests have proven its value. We publish below a description of use of water for our readers. For old and serious diseases as well as modern illnesses the water treatment had been found successful by a Japanese medical society as a 100% cure for the following diseases:

Headache, body ache, heart system, arthritis, fast heart beat, epilepsy, excess fatness, bronchitis asthma, TB, meningitis, kidney and urine diseases, vomiting, gastritis, diarrhoea, piles, diabetes, constipation, all eye diseases, womb, cancer and menstrual disorders, ear nose and throat diseases.

METHOD OF TREATMENT

1. As you wake up in the morning before brushing teeth, drink 4 x 160ml glasses of water

2. Brush and clean the mouth but do not eat or drink anything for 45 minute

3. After 45 minutes you may eat and drink as normal.

4. After 15 minutes of breakfast, lunch and dinner do not eat or drink anything for 2 hours

5. Those who are old or sick and are unable to drink 4 glasses of water at the beginning may commence by taking little water and gradually increase it to 4 glasses per day.

6. The above method of treatment will cure diseases of the sick and others can enjoy a healthy life.

The following list gives the number of days of treatment required to cure/control/ reduce main diseases:

1. High Blood Pressure - 30 days

2. Gastric - 10 days

3. Diabetes - 30 days

4. Constipation - 10 days

5. Cancer - 180 days

6. TB - 90 days

7. Arthritis patients should follow the above treatment only for 3 days in the 1st week, and from 2nd week onwards - daily.

This treatment method has no side effects, however at the commencement of treatment you may have to urinate a few times.
It is better if we continue this and make this procedure as a routine work in our life.

Drink Water and Stay healthy and Active.

This makes sense. The Chinese and Japanese drink hot tea with their meals not cold water. Maybe it is time we adopt their drinking habit while eating!!! Nothing to lose, everything to gain...

For those who like to drink cold water, this article is applicable to you.

It is nice to have a cup of cold drink after a meal; however the cold water will solidify the oily stuff that you have just consumed. It will slow down the digestion.

Once this 'sludge' reacts with the acid, it will break down and be absorbed by the intestine faster than the solid food. It will line the intestine.

Very soon, this will turn into fats and lead to cancer. It is best to drink hot soup or warm water after a meal.

Back
Top Bottom