Muda sahihi wa kunywa maji

FL1 piga mswaki kwanza kabla ya kunywa maji uamkapo!
Mheshimiwa,
Inashauriwa kunywa maji kabla ya kupiga mswaki maana hayo mate mdomoni huwa na faida katika mfumo mzima.Sijajua vizuri the scientific aspect of it na nitaomba wenye utaalamu wa kisayansi watujuze zaidi on this.
 
FL1 piga mswaki kwanza kabla ya kunywa maji uamkapo!
Hapo unampoteza kabisa,asubuhi unatakiwa unywe maji yasiyo ya baridi kabla ya kupiga mswaki,na mate yanayojaa mdomoni mara uamkapo ni vizuri kuyameza kwa ajili ya afya ya tumbo lako!!
 
asante bra edo nimekupata swaia kabisa, nimejifunza na bado naendelea,
 
Unazungumzia mkojo njia au njia yenyewe?

Avatar yako imenikumbusha avatar nyngine alikuwa anatumia Mzuzu.
Nakumbuka sana ile threade yake yake ya "project funding" kama sikosei,
sijui ilishia wapi ile.
Any way poa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…