B Buza Member Joined Aug 7, 2011 Posts 57 Reaction score 14 Sep 30, 2012 #1 Watangazaji wengi wa radio na luninga wanapenda sana kutumia msemo huu, "muda si rafiki tena" wakati kipindi kikifikia mwisho wa muda wake uliopangiwa. Je wataalamu msemo huu ni sahihi, Naomba ufafanuzi.
Watangazaji wengi wa radio na luninga wanapenda sana kutumia msemo huu, "muda si rafiki tena" wakati kipindi kikifikia mwisho wa muda wake uliopangiwa. Je wataalamu msemo huu ni sahihi, Naomba ufafanuzi.
Anita Baby JF-Expert Member Joined Oct 2, 2011 Posts 1,265 Reaction score 540 Sep 30, 2012 #2 Muda ukipita umepita hauwez kurudisha tena.