Muda sio Rafiki wa mwanadamu.

Muda sio Rafiki wa mwanadamu.

Wolf

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2015
Posts
313
Reaction score
255
Hii picha imebeba maana halisi ya ulimwengu wa soka duniani itapita miaka tele lkn kamwe haiwezi kusahaulika maana halisi ya mpira wa miguu utatu mtakatifu..huyu mwenye nywele ndefu nyeupe (bambucha) jina kapuni inabaki kama Quiz kwa atakaye patia jina natoa vocha ya buku 2 asubuhi hii hii.
Screenshot_2019-01-07-05-44-35-1.jpeg
Screenshot_2019-01-07-05-57-42-1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom