Mkuu jina kapuni LA huyo bambucha ni Nelly Alexandra KamweluHii picha imebeba maana halisi ya ulimwengu wa soka duniani itapita miaka tele lkn kamwe haiwezi kusahaulika maana halisi ya mpira wa miguu utatu mtakatifu..huyu mwenye nywele ndefu nyeupe (bambucha) jina kapuni inabaki kama Quiz kwa atakaye patia jina natoa vocha ya buku 2 asubuhi hii hii.View attachment 988307View attachment 988308
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushapewa hiyo Vocha Ses? [emoji12][emoji12]Carlos Valderama wa Colombia au Rene Higuita wa hukohuko kwa wauza ngada
Hao wa chini ni Ronaldo Original, Ronaldo De Lima na Maradona
Mkuu jina kapuni LA huyo bambucha ni Nelly Alexandra Kamwelu
Carlos Valderama wa Colombia au Rene Higuita wa hukohuko kwa wauza ngada
Hao wa chini ni Ronaldo Original, Ronaldo De Lima na Maradona
Kwani hayuko Sahihi Mkuu?
Oooh. Sawa
Ronaldo de lima ndo shati gani ilo umeevaa aisee
Labda itakua amenichezea tatu mzuka kabisa na hiyo buku ili nijishindie gari maana hiyo vocha huku haijafikaπππUshapewa hiyo Vocha Ses? [emoji12][emoji12]
Labda itakua amenichezea tatu mzuka kabisa na hiyo buku ili nijishindie gari maana hiyo vocha huku haijafikaπππ