Muda stahiki wa kuvaa chupi iliyotoboka; na faida zake lukuki

Muda stahiki wa kuvaa chupi iliyotoboka; na faida zake lukuki

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Nianze kwa kuwatia moyo wapendwa!

"Kuisha kwa koleo siyo mwisho wa Uhunzi"
Karibuni kwenye mada hii ya Chupi mujaarabu!
Chupi kama neno asili, ni ile nguo ndogo ya kwanza ya ndani kabisa inayoanza kuvaliwa na ya mwisho kuvuliwa!

Hii nguo pamoja na kuwa namajina tofauti tofauti mazuri! ila kwa wanaume imeboreshwa zaidi ili istili kende vyema zisining'inie; Tunaiita boksa.
Hii nguo ukitaka kujua ina umhimu gani, Tembea bila kuivaa siku ya interview!!!
Chupi/ boksa ingekuwa ni wizara, basi ingefaa kuitwa wizara ya mambo ya ndani kwa jinsi inavyopambana kubana mirindimo na kende zetu!

Changamoto ni namna mbaya ya uishaji wake!
Swali: Kuna faida gani kuvaa Chupi iliyotoboka?
Majibu: haya hapa;
  • Kutokana na tafti, nguo inapoisha huwa inaubora mzuri kwa afya ya ngozi kwasababu ina ruhusu mzunguko mzuri wa hewa hususani sehemu za siri.
  • Inaruhusu ukuwaji wa sehemu za siri hususani kwa wanaume (free pendulum) kutokana na kutobana misuli
  • Haisumbui wakati wakujisaidia haja ndogo (Easy to access) kwasababu unaweza ukatwist kwa pembeni no problem haisumbui kama mpya.
  • Wakati ufuwaji haisumbui hutakata haraka
  • Hutunza ngozi na misuli
Je: Ni wakati gani utaivaa?

  1. Ni vyema kuvaa chupi ukiwa nyumbani kwako,
  2. ukiwa chumbani na mpenzi wako,
  3. Pia ni waweza tumia chupi/boksa mbovu kama night dress ili kurahisisha mzunguko wa hewa uwapo usingizini,
  4. Pia kwa wanandoa inaongeza ng'amleng'amle;
  5. wamama wajawazito kutokana kuachia misuli, n.k

Si: vyema kuvaa ukiwa mbali na nyumbani
Kutokana na wingi wa makamera siku hizi ,Hushauliwi kuvaa chupi iliyotoboka unapokuwa mbali na nyumbani, Maana unaweza ng'atwa na ng'e huko njiani ukavua bahati mbaya ukaweka headline!

Ushuhuda
Nimalize kwa hadithi Hii fupi;
Kuliwahi kuwepo watu wawili maswahiba, mmoja alikuwa kiwete na mwingine kipofu;

Yule kipofu kabla upofu wake alikuwa hajawahi ona mnyama mkubwa zaidi Panya maana alizaliwa wakiwa mafichoni kwenye handaki.

Siku moja wakiwa wanafuma mkeka na swahiba wake kiwete, Mara likapita kundi la punda,

Yule kiwete akamwambia swahiba ake; Aisee kuna Mapunda yanapita hapa jamaa angu ni makubwa hatari; Yule kipofu akauliza; Makubwa kama Panya?.…..
story zikaendelea huku wakieleweshana kuhusu ukubwa wa punda!
Mara Ikasikika sautii Tiiii, sauti ya kitu kudondoka;
Yule kipofu akauliza tena LiPunda ndiyo limekunya mavi mazito namna hiyo swahiba???
Yule kiwete akamjibu, Papai hilo limedondokaa.....
Basi wakashauliana kwenda kuyapangua mapapai yote yaloiva!..

Yule kipofu akamsihi kiwete apande juu ayaangue, halafu kwasababu yeye kipofu, akisikia mlio ataokota na kuhesabu!..Sawa....Sawa wakaelewana

Yule kiwete akapanda akatikisa papai la kwanza likashuka chini ........Tiiii, Kipofu akasema kwa sauti Mooooja!....Mara tena..akasikia....
Tiiii, kipofu kasema tena la pili hilo,.....Tiiii; la tatu hilo, .....anahesabu huku akiyakusanya!..Maraaa yule kiwete akateleza akadondoka Tiiiiiiiiiiiiiiii,...(bahati mbaya akadondoka kifudifudi matako yakawa juu suluali ya kiwete ilipasuka na hakuvaa chupi) ...Yule kipofu akapapasa papasa na kusema kwa sauti;...Nne na tano hiyoooh Mkuu yako mawili yameungana.....katika kupapasa akatia kidole kabisa na kunusa...Akasema; Mhhhhh!! Swahiba nahisihi haya ya mwisho Tumechemsha Halafu yameoza kabisaaah.....
Screenshot_20190825-100420.png


*****Jumapili njema wadau*****
 
Nime log in haraka haraka nikidhani nitaona hata picha yake kumbe laa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti yapo mawili yamegandiana halafu yameoza hahaha you made my weekend.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah!!! watu wengine wanaufala mwingi!!!
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Aahahahahahahahahhaaaa. Eehehehehhehehehhehehehheeeee hihihihihihihihihihiiiii ooohohohohohohhhoohohohoohoohohhhh uuhuhuhuhuhuhuhuhuhuhuuuuu

Jamanii looh, mbavu zangu mie aakaaa aahahahahahahhahahahahahahaaaaaa.

Huyo kipofu angekuwa mwanamke halafu kiwete ameangukia kichalichali, huyo kipofu angejikuta anapapasa mtarimbo na mayai yake mawili na wangekokotana hadi kwenye mkeka kumaliza simulizi ya mapapai.
 
Aahahahahahahahahhaaaa. Eehehehehhehehehhehehehheeeee hihihihihihihihihihiiiii ooohohohohohohhhoohohohoohoohohhhh uuhuhuhuhuhuhuhuhuhuhuuuuu

Jamanii looh, mbavu zangu mie aakaaa aahahahahahahhahahahahahahaaaaaa.

Huyo kipofu angekuwa mwanamke halafu kiwete ameangukia kichalichali, huyo kipofu angejikuta anapapasa mtarimbo na mayai yake mawili na wangekokotana hadi kwenye mkeka kumaliza simulizi ya mapapai.
wasingekuwa ma swahiba
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah!!! watu wengine wanaufala mwingi!!!
😀😀😀
 
Assume mchupi kama nandi halafu una tobo [emoji23]
 
Kuvaa chupi iliyotoboka ni kuhamasisha umasikini na upumbafu.

Boxer mpya za mchina, material cotton tena zina matundu spesho kwa mbele na kisikizo juu, tena affordable prise.

Leo ukahangaike na chupi chakavu, zinakutosha kichwani kweli mkuu!
Topic za kivuta bhangi sijui kwanini zinapata access humu!
 
Back
Top Bottom