Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,112
- 4,361
Kuna ulazima wa serikali kuingilia kati hata kushauriana na TFF hasa suala hili la mpira.
Ilikuokoa timu ya taifa, mimi kwa mtazamo wangu tungeanza na kupunguza wachezaji wa kigeni angalau hata saba 7.
Kukaa bench ni hatari sana kwa mchezaji yeyote yule, ingawaje hapa watu watakuja kusema (hawafanyi juhudi mazoezi I) hapana.
Huwezi weka mchezaji nje wa million 200 huku umtangulize Waziri Jr, hata hao mashabiki hawatakuelewa, hivyo tunauwa vipaji vyetu wenyewe.
Pia soma: FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024
Tupunguze wachezaji wa kigeni, ili tuwape nafasi wazawa za kucheza kuliko kukaa bench, tutakuwa tutalaumu kila siku pasipo kuangalia tatizo lilipo.
Angalau tungekuwa na wachezaji nje wa kutosha ingetusaidia kufikia malengo, lakini bado tunategemea wachezaji wa ndani zaidi ya 70%.
Muda Muafaka kuliangalia hili, ili tuikomboe stars.