Muda umeongea: Yanga ndio Industry ya mpira hapa nchini

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Salaam Wana JF

Ukiondoa ushabiki, akili Banda, uchawa na kuusimamia ukweli wa mpira unaweza kuona ni jinsi Gani Yanga ni industry Bora Kwa maendeleo ya mpira Kwa sababu zifuatazo:

1. Feitoto amekuja Yanga Hana kitu...japo anapenda mpira, Yanga ikamchagulia awe muokoaji wa timu inapopita kwny hustling kali kupata matokeo.....hivyo ikamfundisha kuwa mpiga mashuti

Saido, amekuja Yanga, kajifunza kuwa na bidii ( kuhustle) then kuisaidia timu kupata tokeo

The same as Aziz ki

Je bado hujaona contribution ya Yanga?????????

Mpira ni sayansi .....tuache kuchanganya mahaba & uchambuzi[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Bigirimana akaacha ofa ya real madrid akaja kwenye timu ya ndoto yake,ameisaidia sana yanga kwa assist zake
Kabisa mkuu....japo siyo fans wa Yanga but Yanga Wana kikosi kipana that's y ni ngumu Kwa bigirimana kupata namba kila siku

Vp ulitegemea saido angehit faster hivi pale simba
 
Kabisa mkuu....japo siyo fans wa Yanga but Yanga Wana kikosi kipana that's y ni ngumu Kwa bigirimana kupata namba kila siku

Vp ulitegemea saido angehit faster hivi so sinba
Simba kakutana na wataalam ni kama yuko ufaransa,ukicheza na wasiojua utaonekana hujui tu,amin amin nakwambia hata Mbappe aje yanga au geita ataonekana hajui tu
 
... Feitoto amekuja Yanga Hana kitu...japo anapenda mpira,
Saido, amekuja Yanga, kajifunza kuwa na bidii ( kuhustle) then kuisaidia timu kupata tokeo. The same as Aziz ki. Je bado hujaona contribution ya Yanga?????????
Wachezaji wanatakiwa kuisaidia timu, sio timu kuwasaidia wachezaji. Vinginevyo utaishia kujivunia academy huku wenzio wakicheza makundi, robo fainali na nusu fainali za CAF CL
 
Ungetaja vijana waliotoka academy ya Yanga
 
Feitoto kumbe mmemfundisha mpira?
 
Simba kakutana na wataalam ni kama yuko ufaransa,ukicheza na wasiojua utaonekana hujui tu,amin amin nakwambia hata Mbappe aje yanga au geita ataonekana hajui tu
Simba kakutana na wataalam ni kama

Swali ndugu mtoa maoni

Kama Simba wanajua...vp umeona msimamo???
 
Wachezaji wanatakiwa kuisaidia timu, sio timu kuwasaidia wachezaji. Vinginevyo utaishia kujivunia academy huku wenzio wakicheza makundi, robo fainali na nusu fainali za CAF CL
Unajua kwnn ....% kubwa ya wachezaji wanapenda kucheza real Madrid..????????

Jibu ni kuwa real Madrid pia inasaidia ku brand wachezaji
 
Na yule Makame bui kitanta ni zao la wanainji alivokua simba alikua timamu alivokwenda yanga sasa ...
Anyway kabwili ni zao la wapi vile
Na yule Makame bui kitanta

Ndo yupi huyo mkuu.....be open usiogope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…