Hollyreath
Senior Member
- Apr 22, 2013
- 126
- 12
Habari wana jamvi,,,nnimeacha kazi,nitachukua muda gani kupata pesa zangu za nssf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wana jamvi,,,nnimeacha kazi,nitachukua muda gani kupata pesa zangu za nssf
dah....hata mimi nahitaji kufahamishwa mkuu....nasubiri.
NSSF wamebadiri utaratibu, kwa sasa hakuna tena kusubiri miezi 6.Nenda tawi lolote la NSSF lililokaribu ukiwa na barua yako ya kuacha/kuachishwa kazi(utoe copy) na kadi yako ya NSSF(pia utoe copy ya rangi) kisha utapewa form za kujaza(kwa kesi yako ni mafao ya kujitoa uanachama),kisha utafahamisha siku ya kwenda kuchukua cheque yako.Ni kati ya majuma 2 mpaka mwezi kulipwa cheque yako.