donniebrasco
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 887
- 773
Habari ndugu,
naomba mnisadie tofauti kati ya muda na wakati kuna jaaa kapost kuwa kila kitu kina muda na wakati wake mi nikamuomba anipe kidogo tofaut mi sikumuelewa basi ye kanimind