donniebrasco JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 887 Reaction score 773 Nov 24, 2014 #1 Habari ndugu, naomba mnisadie tofauti kati ya muda na wakati kuna jaaa kapost kuwa kila kitu kina muda na wakati wake mi nikamuomba anipe kidogo tofaut mi sikumuelewa basi ye kanimind
Habari ndugu, naomba mnisadie tofauti kati ya muda na wakati kuna jaaa kapost kuwa kila kitu kina muda na wakati wake mi nikamuomba anipe kidogo tofaut mi sikumuelewa basi ye kanimind