Muda wa application waongezwa tcu.

kapu

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
218
Reaction score
44
kwa wale ambao wanahitaji kufanya maombi ya vyuo kwa level ya degree na walichelewa kufanya hivyo sasa mtafanya kuanzia tarehe 29 july hadi 9 august 2013.
 
Kivipi .? Je kwa ambao washa aply na wanataka kuchange faculty inakuaje?
 
kuomba mkopo mwisho ni tarehe 31 july 2013 hivyo waweza kufanya application zote.
 
nahisi mwezi wa kumi watu watakua vyuoni tayari.
 
Chuo lazima iwe january coz walienda wa sita watamaliza wa 9 mwishoni au wa 10 mwanzoni.halafu wa awamu ya tatu watamaliza wa 12 mwishoni.labda awamu ya 3 waitoe den watafanya mabadiliko ya intake
 
Hebu nielekezeni jinsi ya kuangalia majina ya waliochaguliwa vyuoni jamani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…