Muda wa furaha kwa mashabiki wa Simba sasa umekiswa

DungaMawe

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2022
Posts
1,522
Reaction score
4,630
Ukiangalia kikosi chao cha leo dhidi ya timu dhaifu. Lakini bado uchezaji wao ni uleule hakuna maajabu wala nyongeza yoyote kwenye kikosi cha makolo.

Sajili mpya zote zimeshindwa kuonyesha kile mashabiki wanataka. Tutarajie malalamiko ya gsm kutembeza bahasha.

TUKUTANE TANGA TUJUE NANI KASAJILI WACHEZAJI NA NANI KASAJILI LINE ZA TIGO NA VODA. ALAMSIKI
 
Kikosi cha Simba bado kipya.Ni muda wa Kocha kuwajenga wachezaji kiakili na kugundua nani na nani acheze.
 
na wish azam ange cheza na simba, am sure azam angeshinda tena , sema azam na yanga ni final level kind of a match.
Tatzo ni wabishi tusubir msimu uanze. yanga bingwa tena
 
.
 

Attachments

  • F22e1u7WIAIAVvF.jpeg
    25.5 KB · Views: 1
Ma uto yanatiana moyo baada ya kuogopa vyuma vjlivyosajiliwa na mnyama
 
Ukiangalia kikosi chao cha leo dhidi ya timu dhaifu. Lakini bado uchezaji wao ni uleule hakuna maajabu wala nyongeza yoyote kwenye kikosi cha makolo.
Kwa hiyo kikosi cha Simba kimebaki kama kile kile kilichoifunga Yanga 2-0 na Singida BS 3-1 ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…