Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Nov 26, 2023 #21 DungaMawe said: Vipi mavyuma yako huwezi niuzia kwa kupima kilo, kilo moja nitanunua kwa sh300. Click to expand... Tulia waza timu yako inavukaje group stage..achana na Simba
DungaMawe said: Vipi mavyuma yako huwezi niuzia kwa kupima kilo, kilo moja nitanunua kwa sh300. Click to expand... Tulia waza timu yako inavukaje group stage..achana na Simba
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 26, 2023 #22 Yagangwe yajayo...
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 15,265 Reaction score 29,991 Nov 26, 2023 #23 Kalpana said: Ma uto yanatiana moyo baada ya kuogopa vyuma vjlivyosajiliwa na mnyama Click to expand... Na kweli ni vyuma
Kalpana said: Ma uto yanatiana moyo baada ya kuogopa vyuma vjlivyosajiliwa na mnyama Click to expand... Na kweli ni vyuma
DungaMawe JF-Expert Member Joined Jul 31, 2022 Posts 1,522 Reaction score 4,630 Nov 26, 2023 Thread starter #24 Smart911 said: Yagangwe yajayo... Click to expand... Tatizo binadamu wa sikuhizi ni wabishi. Cc Kalpana
Smart911 said: Yagangwe yajayo... Click to expand... Tatizo binadamu wa sikuhizi ni wabishi. Cc Kalpana
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Nov 26, 2023 #25 DungaMawe said: Tatizo binadamu wa sikuhizi ni wabishi. Cc Kalpana Click to expand... Lazima tuwepo mkuu tubalance nature... 😀
DungaMawe said: Tatizo binadamu wa sikuhizi ni wabishi. Cc Kalpana Click to expand... Lazima tuwepo mkuu tubalance nature... 😀