eselungwi
Member
- Mar 12, 2012
- 97
- 70
habari wakuunlikuwa nauliza kama kuna mwenye ufahamu kuhusu interniship ,nategemea kumaliza chuo mwaka kesho bachelor of science in medical laboratory technology nimeskia kwa wote waliosoma medical nje ya nchi wakirud lazima wafanye internship je ni kweli?na inachukua mda gan?kunamda wa maalumu wa kuomba kufanya au ni mda wowote unaorud? ntashukuru kwa majibu yenu