Muda wa kazi kwa mwalimu ambaye ni mtumishi wa umma

ILLUNGU

Member
Joined
Oct 12, 2015
Posts
35
Reaction score
5
mwl. ktk gvt schools akifanya muda wa ziada kama vile ktk zamu, vikao baada ya muda wa kazi anastahili malipo?
 
kwa nini afamye kazi muda wa ziada? hakikisha unakuja kazin kabla ya saa moja na nusu, ili uwe na uhalali wakuondoka saa tisa na nusu ila kama unachelewaga ni ngumu maana sheria inakutaka kufidia mda ulopoteza
 
Umeambiwa habari ya Mwalimu wa Zamu! We vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…