Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipato cha marekani? Salary ni ×15 ya unachopokea hapo TZ.Wote walioapply hawezi kushinda,kuna michakato mingi hapo katikati pia kufikia huko. Mi naomba kuuliza,ukifika huko unapata ajira sehemu zipi na kipato kipoje uki-compare na TZ
Haha Maneno yako yashindwe in Jesus name. Unajuaje kua walioapply hawawezi shinda? michakato mingi unayoobgelea yote tunaijua na thats why walioapply wameona wanaweza kubahatika, by the way ni bahati nasibu so kuna kushinda na kushindwa, but tuombee wote waloapply washinde as long as huwa hata ni waTz wachache huapply.Wote walioapply hawezi kushinda,kuna michakato mingi hapo katikati pia kufikia huko. Mi naomba kuuliza, ukifika huko unapata ajira sehemu zipi na kipato kipoje uki-compare na TZ
Wote walioapply hawawezi kushinda hio haipo na haitakuwepo.........we ni mgumu kuelewa kiswahili?Haha Maneno yako yashindwe in Jesus name. Unajuaje kua walioapply hawawezi shinda? michakato mingi unayoobgelea yote tunaijua na thats why walioapply wameona wanaweza kubahatika, by the way ni bahati nasibu so kuna kushinda na kushindwa, but tuombee wote waloapply washinde as long as huwa hata ni waTz wachache huapply.
NOTE:kila mwaka watz pia hushinda na hupata hiyo green card.
Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Kupata green card sio jibu la kufanikiwa maisha USA.....Kanuni ya kufanikiwa ni zilezile...Uweze kuona fursa na kuleta solutions na watu wakulipe kwa hizo solutions...Ukienda USA na elimu ya kibongo kwanza hawaitambui vyeti vyetu....Pili ambalo ni kubwa ubaguzi bado upo sana...watakubagua kwa lugha, lafudhi, rangi hadi kazi utakazopewa..
Kama unataka kufanya hustle kule ukifikiria utafanikiwa, kwanini usifanyie hapa nyumbani ambapo mcheza kwao hutunzwa......Nasikitika nikisikia mtu kaacha kazi benki au kampuni za simu na mwingine nasikia uhamiaji anaenda jilipua USA....Kama huwezi fanikiwa TZ usifikiri utafanikiwa kule ni mind set....Mjusi habadiliki kuwa mamba akifika Marekani......You have been warned..
wacha kua na akili mgando ndugu, kuna tofauti ya sehemu na sehemu, thats why kuna watu wanatoka.kijijini wanahamia.mjini na wanatusua, na kuna watu wanatoka mjini na kuhamia kijijini wanatusua pia, hatuwezi kua na preference moja, kila fursa ina mwenyewe, kama yako haipo sehemu ukipo then try another olace unayoona utaipata fursa unayohitaji, wako watu walihussle bongo sana tu ila hakuna.kilichoenda, ila aliiona fursa Kenya alipohamia kenya tu hapo jirani akatusua na wakati wako wakenya ambao hawajatusua, but nao wakenya kwao hawaoni fursa ila wakija bongo wanatusua, so kukaa mahali pamoja is not a solution just try something else, sonewhere else, that is what we call struggle, struggle sio kuganda nahali pamoja na kuskilizia fursa ambazo 1000000 people waiting for it while.kuna sehemu fursa hiyo inatafuta watu na haiwapati, ni bora kukaa mahali mnagombania fursa ama kuenda kwenye fursa inayogombania watu na sio kugombaniwa? Think twice usibweteke.Kupata green card sio jibu la kufanikiwa maisha USA.....Kanuni ya kufanikiwa ni zilezile...Uweze kuona fursa na kuleta solutions na watu wakulipe kwa hizo solutions...Ukienda USA na elimu ya kibongo kwanza hawaitambui vyeti vyetu....Pili ambalo ni kubwa ubaguzi bado upo sana...watakubagua kwa lugha, lafudhi, rangi hadi kazi utakazopewa..
Kama unataka kufanya hustle kule ukifikiria utafanikiwa, kwanini usifanyie hapa nyumbani ambapo mcheza kwao hutunzwa......Nasikitika nikisikia mtu kaacha kazi benki au kampuni za simu na mwingine nasikia uhamiaji anaenda jilipua USA....Kama huwezi fanikiwa TZ usifikiri utafanikiwa kule ni mind set....Mjusi habadiliki kuwa mamba akifika Marekani......You have been warned..
Hahah kaa hapo endelea kujidanganya, two of my friends waliapply kimasihara tu na wakapata green card 2018 before Trump astopishe some countries to apply, just kinasihara tu wakapata, wewe endelea kuona kila kitu ni kigumu instead of trying to do it and see for yourself.Wote walioapply hawawezi kushinda hio haipo na haitakuwepo.........we ni mgumu kuelewa kiswahili?
Kazi nyingi zilizopo ni za ovyo ovyo ..... Kazi za maana, hutapewa mgeni... Sana sana kwenye mavyuo vikuu, huko ndio unaweza pata kazi na uwe umepiga shule nzuri ...Kwingine mtu atakuambia kazi nyingi , wakati wao wenyewe hawa kazi..Kwa quality of life USA is far much better, kwa sasa kazi ni nyingi sana na hawana watu. Elimu ni bure kama una watoto watasima bure na wanapata best education hapo kwetu ukitaka hiyo best education ni pesa ndefu sana.
In short run... mtu akifika USA anaonekana amefanikiwa ...Kwa mfano mtu ambaye bongo alikuwa anatumia usafiri wa public..Akifika kule kununua kijigari ni rahisi kabisa.... Mfumo upo hivyo... Wanakopesha consumer goods kwa wingi sana.... Of course kila mtu anaona kivyake..wacha kua na akili mgando ndugu, kuna tofauti ya sehemu na sehemu, thats why kuna watu wanatoka.kijijini wanahamia.mjini na wanatusua, na kuna watu wanatoka mjini na kuhamia kijijini wanatusua pia, hatuwezi kua na preference moja, kila fursa ina mwenyewe, kama yako haipo sehemu ukipo then try another olace unayoona utaipata fursa unayohitaji, wako watu walihussle bongo sana tu ila hakuna.kilichoenda, ila aliiona fursa Kenya alipohamia kenya tu hapo jirani akatusua na wakati wako wakenya ambao hawajatusua, but nao wakenya kwao hawaoni fursa ila wakija bongo wanatusua, so kukaa mahali pamoja is not a solution just try something else, sonewhere else, that is what we call struggle, struggle sio kuganda nahali pamoja na kuskilizia fursa ambazo 1000000 people waiting for it while.kuna sehemu fursa hiyo inatafuta watu na haiwapati, ni bora kukaa mahali mnagombania fursa ama kuenda kwenye fursa inayogombania watu na sio kugombaniwa? Think twice usibweteke.
Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app