Muda wa ku-apply Green Card lottery umeisha

cordoba

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
686
Reaction score
962
Tulio apply Green card tujiandae kwenda USA mwakani, najua tutashinda watanzania wote tulioapply, Mimi nitakwenda kuishi Jimbo la South Dakota, wenzangu mtaishi majimbo gani
 
Mimi nitaenda kuishi Nevada au Texas wenzangu mtaenda Jimbo jipya, najua wote watz, KE, UG na Burundi tulioapply tutashinda
 
Wote walioapply hawawezi kushinda,kuna michakato mingi hapo katikati pia kufikia huko. Mi naomba kuuliza, ukifika huko unapata ajira sehemu zipi na kipato kipoje uki-compare na TZ
 
Wote walioapply hawezi kushinda,kuna michakato mingi hapo katikati pia kufikia huko. Mi naomba kuuliza,ukifika huko unapata ajira sehemu zipi na kipato kipoje uki-compare na TZ
Kipato cha marekani? Salary ni ×15 ya unachopokea hapo TZ.
 
Wote walioapply hawezi kushinda,kuna michakato mingi hapo katikati pia kufikia huko. Mi naomba kuuliza, ukifika huko unapata ajira sehemu zipi na kipato kipoje uki-compare na TZ
Haha Maneno yako yashindwe in Jesus name. Unajuaje kua walioapply hawawezi shinda? michakato mingi unayoobgelea yote tunaijua na thats why walioapply wameona wanaweza kubahatika, by the way ni bahati nasibu so kuna kushinda na kushindwa, but tuombee wote waloapply washinde as long as huwa hata ni waTz wachache huapply.

NOTE:kila mwaka watz pia hushinda na hupata hiyo green card.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Wote walioapply hawawezi kushinda hio haipo na haitakuwepo.........we ni mgumu kuelewa kiswahili?
 
Kupata green card sio jibu la kufanikiwa maisha USA.....Kanuni ya kufanikiwa ni zilezile...Uweze kuona fursa na kuleta solutions na watu wakulipe kwa hizo solutions...Ukienda USA na elimu ya kibongo kwanza hawaitambui vyeti vyetu....Pili ambalo ni kubwa ubaguzi bado upo sana...watakubagua kwa lugha, lafudhi, rangi hadi kazi utakazopewa..

Kama unataka kufanya hustle kule ukifikiria utafanikiwa, kwanini usifanyie hapa nyumbani ambapo mcheza kwao hutunzwa......Nasikitika nikisikia mtu kaacha kazi benki au kampuni za simu na mwingine nasikia uhamiaji anaenda jilipua USA....Kama huwezi fanikiwa TZ usifikiri utafanikiwa kule ni mind set....Mjusi habadiliki kuwa mamba akifika Marekani......You have been warned..
 

Kwa quality of life USA is far much better, kwa sasa kazi ni nyingi sana na hawana watu. Elimu ni bure kama una watoto watasima bure na wanapata best education hapo kwetu ukitaka hiyo best education ni pesa ndefu sana.
 
wacha kua na akili mgando ndugu, kuna tofauti ya sehemu na sehemu, thats why kuna watu wanatoka.kijijini wanahamia.mjini na wanatusua, na kuna watu wanatoka mjini na kuhamia kijijini wanatusua pia, hatuwezi kua na preference moja, kila fursa ina mwenyewe, kama yako haipo sehemu ukipo then try another olace unayoona utaipata fursa unayohitaji, wako watu walihussle bongo sana tu ila hakuna.kilichoenda, ila aliiona fursa Kenya alipohamia kenya tu hapo jirani akatusua na wakati wako wakenya ambao hawajatusua, but nao wakenya kwao hawaoni fursa ila wakija bongo wanatusua, so kukaa mahali pamoja is not a solution just try something else, sonewhere else, that is what we call struggle, struggle sio kuganda nahali pamoja na kuskilizia fursa ambazo 1000000 people waiting for it while.kuna sehemu fursa hiyo inatafuta watu na haiwapati, ni bora kukaa mahali mnagombania fursa ama kuenda kwenye fursa inayogombania watu na sio kugombaniwa? Think twice usibweteke.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Wote walioapply hawawezi kushinda hio haipo na haitakuwepo.........we ni mgumu kuelewa kiswahili?
Hahah kaa hapo endelea kujidanganya, two of my friends waliapply kimasihara tu na wakapata green card 2018 before Trump astopishe some countries to apply, just kinasihara tu wakapata, wewe endelea kuona kila kitu ni kigumu instead of trying to do it and see for yourself.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Kwa quality of life USA is far much better, kwa sasa kazi ni nyingi sana na hawana watu. Elimu ni bure kama una watoto watasima bure na wanapata best education hapo kwetu ukitaka hiyo best education ni pesa ndefu sana.
Kazi nyingi zilizopo ni za ovyo ovyo ..... Kazi za maana, hutapewa mgeni... Sana sana kwenye mavyuo vikuu, huko ndio unaweza pata kazi na uwe umepiga shule nzuri ...Kwingine mtu atakuambia kazi nyingi , wakati wao wenyewe hawa kazi..
 
In short run... mtu akifika USA anaonekana amefanikiwa ...Kwa mfano mtu ambaye bongo alikuwa anatumia usafiri wa public..Akifika kule kununua kijigari ni rahisi kabisa.... Mfumo upo hivyo... Wanakopesha consumer goods kwa wingi sana.... Of course kila mtu anaona kivyake..

Ukweli watanzania walioko USA wanaishi maisha ya kifungwa ...Wengi wako out of status... anafanya kazi kwa kulipwa under the table ....

Hawa ndugu zetu Kenya, wastani wa 120,000 kwa data za zamani wapo ughaibuni , na 35% wako out of status .. Maisha ni tough huko kwa ndugu zetu mbalimbali na si rahisi kihivyo..

Anyway kwa kuwa hii ni public forum .. ninawajibika kusema kwa kile ninachojua

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…