asante sana nduguWanasemaga miaka 3 anaweza kujifungua kwa njia yakawaida,
wifi yangu alikifungua mtoto wa kwanza kwa operation akaambiwa baada ya miaka 3 bahati mbaya baada ya mwaka kapata mimba tulipompeleka hospital kila dr alikuwa anamkwepa alifanyiwa operation ila kwa mbinde.
Baada ya operation dr alimwambia " ukipata nyingine mimba usirudi hapa"
asante sanaThree years atleast
nashukuru sana ulizaa kawaid au kwa operation tena?maana mwanangu ana mwaka na nusu nataka nijaribu kutafuta mdogo wake angalau wapishane miaka miwili ila sitaki kufanyiwa operation tena.Ushauri ni 3 years. And its the safest.
Mimi sikutimiza miaka 3 but am doing alright nimepina fresh na sikupata tabu. Alhamdulillah
Sikushauri uniige because huwa tuna tofautiana na ile ni major operation sio ya kujaribu jaribu uone inakuwaje.
nashukuru sana ulizaa kawaid au kwa operation tena?maana mwanangu ana mwaka na nusu nataka nijaribu kutafuta mdogo wake angalau wapishane miaka miwili ila sitaki kufanyiwa operation tena na
nilifanyiwa operation baada ya kujua mtoto alipogeuka kuna mshipa aliubana, docta akaniambia kuzaa kawaida naweza kwa kuwa sina tatizo na mtoto atazaliwa isipokuwa kuna uwezekano huo mshipa kupata shida na hivyo kusumbuka na matatizo ya mguu ya muda mrefu siku za mbele nikaogopa nikaamua kuingia kwenye operation.
Asante mamii wangu. UbarikiweUshauri ni 3 years. And its the safest.
Mimi sikutimiza miaka 3 but am doing alright nimepina fresh na sikupata tabu. Alhamdulillah
Sikushauri uniige because huwa tuna tofautiana na ile ni major operation sio ya kujaribu jaribu uone inakuwaje.
Tuna case sawa, mwanangu ana mwaka na miez 8 natamani kupata ka mwisho ila naogopa kweli, na hiyo miaka 3 naona mingi basi nipo njia pandanashukuru sana ulizaa kawaid au kwa operation tena?maana mwanangu ana mwaka na nusu nataka nijaribu kutafuta mdogo wake angalau wapishane miaka miwili ila sitaki kufanyiwa operation tena.
Naomba experience ulifanikiwaTuna case sawa, mwanangu ana mwaka na miez 8 natamani kupata ka mwisho ila naogopa kweli, na hiyo miaka 3 naona mingi basi nipo njia panda