Abuwhythum JF-Expert Member Joined Jan 7, 2015 Posts 837 Reaction score 495 Nov 20, 2015 #1 Kwa kawaida mwanamke hubeba ujauzito kwa muda wa wiki/siku ngapi?
NDESSA JF-Expert Member Joined May 2, 2013 Posts 1,946 Reaction score 1,796 Nov 20, 2015 #2 Abuwhythum said: Kwa kawaida mwanamke hubeba ujauzito kwa muda wa wiki/siku ngapi? Click to expand... Hakuna muda fixed average ni 40 weeks, anaweza kujifungua kati ya 36-40 weeks.
Abuwhythum said: Kwa kawaida mwanamke hubeba ujauzito kwa muda wa wiki/siku ngapi? Click to expand... Hakuna muda fixed average ni 40 weeks, anaweza kujifungua kati ya 36-40 weeks.