botafongo jr
Senior Member
- Aug 13, 2013
- 107
- 17
Poleni na majukumu wana JF! Ningependa kufahamishwa huchukua muda gani kukamilisha usajiri wa gari mpaka kupata plate number ya gari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari unalo tayar umeshalinunua, process znazofuata ztachukua mda gani had kupata plate number na gari kuingia barabara kuanza kutumikamuda gani kutoka process ipi mkuu? una maana toka umeagiza au?