Muda wa kukata rufaa kwa kesi ya madai kutoka mahakama ya wilaya kwenda mahakama kuu ni siku ngapi?

Muda wa kukata rufaa kwa kesi ya madai kutoka mahakama ya wilaya kwenda mahakama kuu ni siku ngapi?

Mr. Mpevu

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
286
Reaction score
480
Habari za wakati wakuu.

Naomba kujua ni ndani ya siku ngapi unaruhusiwa kukata rufaa kwa kesi ya madai iliyosikilizwa katika mahakama ya Wilaya kwenda mahakama kuu ili nisiwe nje ya muda.

Natanguliza shukhrani kwa kutumia muda wenu kwa kunijulisha hili.

Ahsante.
 
Mnavamia kazi zisizowahusu ndio maana mnababaika!

Kazi za mawakili zimevamiwa na vishoka! salaleeh!
 
Back
Top Bottom