Habari wanajamvi,naomba kwa wale wataalamu wa masuala ya kujamiiana wanisaidie kunielemisha kuhusu muda unaotakiwa kuchukua unapofanya tendo la ndoa na je imeandikwa wapi na sababu zake ni nini? Maana kila mtu anaongea vyake,mwingne dak 30,wengne dak 4,mara dak 16...n.k naomba nipate muda elekezi kitaalamu na sababu zake. Nawasilisha.
Kila mtu anaongea yake, Na wewe ongea vyako, katiba ya 1977 kifungu cha XXX ibara ya 5 imeelezea muda unaotakiwa! Nenda kanyakue katiba yako utapata muongozo!Habari wanajamvi,naomba kwa wale wataalamu wa masuala ya kujamiiana wanisaidie kunielemisha kuhusu muda unaotakiwa kuchukua unapofanya tendo la ndoa na je imeandikwa wapi na sababu zake ni nini? Maana kila mtu anaongea vyake,mwingne dak 30,wengne dak 4,mara dak 16...n.k naomba nipate muda elekezi kitaalamu na sababu zake. Nawasilisha.
Mi Ninavyojua Tendo La Ndoa Haliishi. Toka Enzi Na Enzi Hadi Leo Lipo Tu
Ngoja nikusaidie maana nahisi ni kama hujiamini ukiwa faragha..
Tendo la ndoa linatakiwa kuwa lenye kuleta ukaribu wa kiroho baina ya watendaji ndio maana likaekwa kwa ajili ya wale wa till death do us apart. Ila kwa dunia ya sasa tendo la ndoa limekuwa ni kama kuonesha kwamba hujapitwa na dunia na ndio maana bikra hata kwa watoto wachanga ni ishu sana maana nahisi muumba ameona hazina maana tena. Nirudi ktk mada yako..
tendo la ndoa linatakiwa liwe kati ya dakika 10 hadi 15. Hapo ndipo kuna intimacy,joy,bonding,refreshing na memories. Ukilitenda zaidi ya dakika 15 hadi nusu saa ile aroma inakuwa imeisha na ndio mmoja anaanza kuboreka na inakuwa kama kukomoana. Utapata michubuko na utakosa yale mautundu na kuboreka na partner wako. Kna wanaofanya zaidi ya nusu saa hadi masaa, hapa hakuna love na ili uende mda wote huo dawa zinahusika (mfano ni porn actors).
*hio juu ni kwa round ya kwanza tuu.
~Kwa wenye uwezo wa kuungia had tatu kama mm unaeza kwenda hata lisaa depending na mood ya mwenzio na anavyoweza kumudu ligi bila kupoteza ladha. Mwanamke akiwa ktk siku za kubeba mimba anakuwa na genye za kfanya ukeshe na bado akadai mwendelee, ila ktk siku za kawaida ina depend na mzuka wake kwako na namna unavyojiwezaga ktk bonding nae hvo usishangae jana kalia amechoka hafu leo kataka mkeshe.
NB: ukiwa na mwenzio zungumza na vunja ukimya, elezanane hot spot zenu,fantasy zenu,mikao yenu ya haja na endurance period ili muwe na furaha,amani na kuridhika na tendo. Too much is harmful na too little is disappointing.
Naamini nimejibu swali lako.:redface:
ID yako nzuri. Lini mnafungua shule?