Muda wa kuwasanua kwa utabiri wa game ya leo usiotimia na ahadi za kupigwa ban

Panctuality

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2019
Posts
775
Reaction score
1,150
Habarini,naam nizame kwenye mada.
Mchezo wa leo SSC Vs YAC mashabiki mbalimbali humu jf walitoa ahadi mpaka wakazidi mipaka, Half american umeahidi Yanga akipoteza mchezo wa leo naomba nipigwe ban miezi 6 KAGAMEE "Yanga akifungwa leo naomba nipigwe ban mwaka mzima.
@cetshwayokampande "yanga inashinda kaomba mi kuwa simba (kaupatia ushabiki wangu) ikitimia mwendo wa kurushiana k~vant.
watani wangu poleni kwa kupata matokeo kinyume na matarajio yenu nadhani Moderator anatambua ni utani hivyo hakuna ban hapo ila ndugu yangu Cetshwayo Kampande fanya kweli kwa ahadi ya k~vant soon nakutumia control number pm na itakuwa expired after 30 minutes nadaiwa hapa na wahudumu.
Ahahahahahaaa
 
Ila Kuna kitu sielewi.

Yanga ndio bingwa, najua anashiriki ligi anayo shirika ya Afrika baada ya kuhamishwa au kushushwa ligi ya mabingwa kwa kupungukiwa na sifa.

Sasa, mwaka huu pia anaelekea kuwa bingwa.

Swali upo uwezekano Yanga akashiriki ligi ya mabingwa mwakani na baadae kushushwa tena?

Mwakani Simba anazo sifa za kushiriki ligi ya mabingwa imepotea? Au hatua gani ifikie katika ligi ya mabingwa Ili mwakani wabaki tena katika ligi ya mabingwa?
 
Moderators naomba hao watu wasipigwe BAN maana ni utani wa jadi
 
Ila Kuna kitu sielewi.

Yanga ndio bingwa, najua anashiriki ligi anayo shirika ya Afrika baada ya kuhamishwa au kushushwa ligi ya mabingwa kwa kupungukiwa na sifa.

Sasa, mwaka huu pia anaelekea kuwa bingwa.

Swali upo uwezekano Yanga akashiriki ligi ya mabingwa mwakani na baadae kushushwa tena?

Mwakani Simba anazo sifa za kushiriki ligi ya mabingwa imepotea? Au hatua gani ifikie katika ligi ya mabingwa Ili mwakani wabaki tena katika ligi ya mabingwa?
Mkuu huwa wanachukua namba 1 na 2 kwenye club bingwa.Halafu namba 3 na mshindi wa ile Azam cup/ shirikisho ndo wanacheza shirikisho la cuf.
Na kama Simba na yanga zikifanya vzr sanaaaa ktk mashindano haya basi timu za Tanzania zitaongezeka ktk mashindano yote
 
Back
Top Bottom