muda wa kuzingatia unapomeza Dawa na kutapika

delusions

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
5,002
Reaction score
1,287
Wataalam nimemeza Dawa za mmmaleria na nimetapika baada ya muda mfupi je naweza rudia kumeza nyingine na je kuna muda maalum ukipita siwezi rudia tena msaada tafadhali
 
Mbona swali la kitoto sana? Dawa si huwa inamaelekezo jinsiya kizitumia? sasa bila wewe kusoamaelekezo huku watu wtajuaje? au wapige lamuri? ndo mambo ya kuuana
 
Wataalam nimemeza Dawa za mmmaleria na nimetapika baada ya muda mfupi je naweza rudia kumeza nyingine na je kuna muda maalum ukipita siwezi rudia tena msaada tafadhali

ndo hizo dawa ulipewa na dr.za ujauzito hujatupa mrejesho maana huwa ni singe doze na ziko tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…