Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndg wana JF naombeni mnisaidie kujua hili, inamchukua muda gani mwanamke anaye nyonyesha kuanza kushriki tendo la ndoa na mwenza wake?
Naombeni majibu yenu mnaojua plz
Ndg wana JF naombeni mnisaidie kujua hili, inamchukua muda gani mwanamke anaye nyonyesha kuanza kushriki tendo la ndoa na mwenza wake?
Naombeni majibu yenu mnaojua plz
10-12 weeks - Kama Mama Mzazi anayo Afya Njema - Vinginevyo ni vizuri ukasubiri zaidi maana inatgemea alijifungua kwa njia gani na afya yake imeimarika kiasi gani...
Uwe mvumilivu saana maana "nyumba ndogo" uanzia kipindi hiki
God Bless
mkuu inaonyesha una taabika kwa kiasi fulani!
vumilia bana mama apunguze maumivu kidogo, mwili umechoka kwa sasa,
huogopi bandika bandua wewe?
yaani amemaliza mzigo wa uzazi tu, tayari unataka kudandia?
Miezi sita baba! Usitoke njeeee weweee vumilia!
Ndg wana JF naombeni mnisaidie kujua hili, inamchukua muda gani mwanamke anaye nyonyesha kuanza kushriki tendo la ndoa na mwenza wake?
Naombeni majibu yenu mnaojua plz
Kwa kawaida ukienda vijijin wazazi wetu hata mtoto anaendelea kukaa ndan chumba special kwa siku arobaini. Uhehen huwa tunasema kipindi hiki nyumba haijatakata yaani mama bado anakuwa anatoa majimaji yenye damu damu. Hivyo kipindi hiki baba hana acces ya mama. Sasa hawa ni layman. Kitaalamu mama baada ya kujifungua kwa njia yeyote kama hajapata sepsis then 42 days ambazo sawa na wk 6 after birth zote zinakuwa zimekwisha na uterus almost inakuwa imerudi kwenye normal size. Lakini kama amepata fistula na amekuwa repaired inaweza kwenda hadi 6months ndipo anaweza kufanya mapenzi tena under low pressure. Otherwise baada ya 42days unaweza kula raha na mkeo tena bila contraceptive. Kumbuka breastfeeding contraceptive inakuwa applied upto 6months kama mtoto ananyonya all the time bila kukamuliwa(expressed) au kumrusha. Kwa kawaida mtoto anatakiwa anyonye kila baada ya masaa 3 mkiweza hii basi hata mkeo anaweza siende hedhi hadi miezi6. Lakin walio wengi huwa wanaishia miezi3 hii ni kutokana na majukumu ambapo unakuta hawezi kukaa na mtoto althe time hasa mchana ambapo waliowengi huwawanakamua nakuwawekea watoto wao wanywe wakiwa hawapo hasa waajiliwa. Na si wk 12 kama alivyosema mchangiaji wa kwanza labda atupe source. Source my profesional, also obs and gyne books.