Muda wa tendo la ndoa

KIJANI

Senior Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
138
Reaction score
26
Ndg wana JF naombeni mnisaidie kujua hili, inamchukua muda gani mwanamke anaye nyonyesha kuanza kushriki tendo la ndoa na mwenza wake?
Naombeni majibu yenu mnaojua plz
 
10-12 weeks - Kama Mama Mzazi anayo Afya Njema - Vinginevyo ni vizuri ukasubiri zaidi maana inatgemea alijifungua kwa njia gani na afya yake imeimarika kiasi gani...

Uwe mvumilivu saana maana "nyumba ndogo" uanzia kipindi hiki

God Bless
 
Ndg wana JF naombeni mnisaidie kujua hili, inamchukua muda gani mwanamke anaye nyonyesha kuanza kushriki tendo la ndoa na mwenza wake?
Naombeni majibu yenu mnaojua plz

mkuu inaonyesha una taabika kwa kiasi fulani!
vumilia bana mama apunguze maumivu kidogo, mwili umechoka kwa sasa,
huogopi bandika bandua wewe?
yaani amemaliza mzigo wa uzazi tu, tayari unataka kudandia?
 
ngoja nikamuulize yule jirani yangu leo then nitarudi na jibu!!!
 
10-12 weeks - Kama Mama Mzazi anayo Afya Njema - Vinginevyo ni vizuri ukasubiri zaidi maana inatgemea alijifungua kwa njia gani na afya yake imeimarika kiasi gani...

Uwe mvumilivu saana maana "nyumba ndogo" uanzia kipindi hiki

God Bless

BE,

Mbona unamwingiza mkenge mwenzio? Kawaida watu wanasubiri siku 40 kama akajifungua kawaida. Mimi uzoefu wangu ni kwamba wengi wetu hata hizo 40 hatufikishi. Mama akishakuwa safi mambo yanaanza.

Kama mtu alijiuzulu huo mchezo wakatia mama ni mjamzito halafu aendelee kusubiri huo muda unaoshauri si atakimbilia nyumba ndogo? Kitu cha msingi ni kuchukua tahadhari ili mama sipate uja uzito wakati mtoto angali mchanga!

Mzee DC.
 
Muda muafaka ni miezi mitatu. Hapo mama anakuwa ame-recover.
 
kila mchango hapa nauthamini na unaongeza kitu fulani katika kile ninachotakiwa kujifunza kutoka hapa jamvini.
 
10-12 weeks - Kama Mama Mzazi anayo Afya Njema - Vinginevyo ni vizuri ukasubiri zaidi maana inatgemea alijifungua kwa njia gani na afya yake imeimarika kiasi gani...

Uwe mvumilivu saana maana "nyumba ndogo" uanzia kipindi hiki

God Bless

Ahsante sana baba enock.
 
mkuu inaonyesha una taabika kwa kiasi fulani!
vumilia bana mama apunguze maumivu kidogo, mwili umechoka kwa sasa,
huogopi bandika bandua wewe?
yaani amemaliza mzigo wa uzazi tu, tayari unataka kudandia?

Bacha mchango wako mzuri na nashukru sana, bt issue si kukosa uvumilivu bali ni kujifunza nini kifanyike ktk wakati upi...
 
Kula tu muda wote na usiulize mpaka maadam amepona misukosuko ya uzazi ambao ni siku chache tu kama alijifungua salama
 
Nimekaa hapa na mimi, najifunza.... ahsante KIJANI kwa suala hili!
Sitaki kutoka nje ya mada ila jamani na KUBEMENDA ndio inakuwaje??
Hivi vitu vinanichanginyi sana!
 
Kuna tangazo linasema uhudhurie kliniki na mume wako sijui lilikupita maana majibu yote ungepata huko

But better late than never sawa mkuu nenda kliniki wakati mtoto anapelekwa na wewe hudhuria uliza hayo maswali utaambiwa
 
Ndg wana JF naombeni mnisaidie kujua hili, inamchukua muda gani mwanamke anaye nyonyesha kuanza kushriki tendo la ndoa na mwenza wake?
Naombeni majibu yenu mnaojua plz

It depends tendo la ndoa unafanya vp, thru uke normally 40 days from delivery depending on her health na no operation etc, ila if u go oral, everyday is a holiday, remember
kwa wale wala bata pia itakua haija recovery vizuri, so only
option nzuri ni oral. Slowly do oral kupunguza pressure
mwenzako bado mzazi sio uwe huna break, be careful.....
 
Nachojua mimi ni siku 40 safi kabisa unapiga sasa utata upo kwenye mambo ya mimba mana mda huo unakuta bado s\circle yake haijasoma uzuri sasa unaweza kushangaa umeweka mimba ingine tena ikawa balaa
 
Kikawaida ni siku 40, mama anakuwa salama ku do. Kikubwa zingatia afya yake na lishe. Pia style ziwe zile soft sio unagonga tu na masarakasi. Kwa ushauri zaidi nenda RCH clinics ya karibu watakujuza kila kitu. All the best.
 
Kwa kawaida ukienda vijijin wazazi wetu hata mtoto anaendelea kukaa ndan chumba special kwa siku arobaini. Uhehen huwa tunasema kipindi hiki nyumba haijatakata yaani mama bado anakuwa anatoa majimaji yenye damu damu. Hivyo kipindi hiki baba hana acces ya mama. Sasa hawa ni layman. Kitaalamu mama baada ya kujifungua kwa njia yeyote kama hajapata sepsis then 42 days ambazo sawa na wk 6 after birth zote zinakuwa zimekwisha na uterus almost inakuwa imerudi kwenye normal size. Lakini kama amepata fistula na amekuwa repaired inaweza kwenda hadi 6months ndipo anaweza kufanya mapenzi tena under low pressure. Otherwise baada ya 42days unaweza kula raha na mkeo tena bila contraceptive. Kumbuka breastfeeding contraceptive inakuwa applied upto 6months kama mtoto ananyonya all the time bila kukamuliwa(expressed) au kumrusha. Kwa kawaida mtoto anatakiwa anyonye kila baada ya masaa 3 mkiweza hii basi hata mkeo anaweza siende hedhi hadi miezi6. Lakin walio wengi huwa wanaishia miezi3 hii ni kutokana na majukumu ambapo unakuta hawezi kukaa na mtoto althe time hasa mchana ambapo waliowengi huwawanakamua nakuwawekea watoto wao wanywe wakiwa hawapo hasa waajiliwa. Na si wk 12 kama alivyosema mchangiaji wa kwanza labda atupe source. Source my profesional, also obs and gyne books.
 
Nimekugongea thanks mtu wangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…