muda wa usajili necta form 4 na QT wasogezwa

muda wa usajili necta form 4 na QT wasogezwa

mbontafo

Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
87
Reaction score
40
kwa wale wote wanaotaraji kufanya mtihani wa kidato cha nne na QT (PRIVATE CANDIDATE NA SCHOOL CANDIDATE), wameongezewa muda wa usajili hadi 31 march tofauti na ilivokua awali ambapo leo 28 feb ndo ilikua mwisho. Muda umeongezwa kutokana na sababu kadha ikiwemo kuchelewa kwa matokeo ya kidato cha nne.Upatapo ujumbe huu mjuze na mwenzako.Msije chelewa tena na kuanza kulalamika na zaidi ya hapo penalty inakuhusu
 
Back
Top Bottom