Muda wa utungaji mimba

Muda wa utungaji mimba

social_science

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2015
Posts
1,106
Reaction score
1,260
Habari wanajukwaa

Kuna bwana kaomba nimuulizie swali hapa ndani, issue ipo hivi jamaa kashiriki mapenzi na mtu wake siku ya jumapili tarehe 11.11.2017 na leo tarehe 22.11.2017 kaletewa taarifa ya ujauzito...
Anaomba kujuzwa kama ni sahihi au kuna uwezekano wa kuuziwa mbuzi ndani ya gunia
 
inawezekana japo ni ngumu kidogo maana tukisema binti kapata mimba day 16 ambayo ndio ya mwisho na mpaka sasa ni siku 11 maanake kiujumla ni siku 27 na tuseme bbinti ndio wale wa short menstrual circle kwa maana ya kwamba ana mzunguko mfupi wa kuanzia siku 25....its Possible ase kuwa na mimba ya Mchizi!
 
Ajiandae na mtoto Wakiume it's possible kabisa due binti anamzunguko mfupi
 
Habari wanajukwaa

Kuna bwana kaomba nimuulizie swali hapa ndani, issue ipo hivi jamaa kashiriki mapenzi na mtu wake siku ya jumapili tarehe 11.11.2017 na leo tarehe 22.11.2017 kaletewa taarifa ya ujauzito...
Anaomba kujuzwa kama ni sahihi au kuna uwezekano wa kuuziwa mbuzi ndani ya gunia
Sasa mkuuu hapa swali lipo wapi ???.

Maelezo hayajitoshelezi kabisa.
 
Back
Top Bottom