social_science
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,106
- 1,260
Wiki moja ndio kipimo kitaoneshaDalili ujitokeza muda gn baada ya tendo??
Sasa mkuuu hapa swali lipo wapi ???.Habari wanajukwaa
Kuna bwana kaomba nimuulizie swali hapa ndani, issue ipo hivi jamaa kashiriki mapenzi na mtu wake siku ya jumapili tarehe 11.11.2017 na leo tarehe 22.11.2017 kaletewa taarifa ya ujauzito...
Anaomba kujuzwa kama ni sahihi au kuna uwezekano wa kuuziwa mbuzi ndani ya gunia