Muda wote huo watu waliokuwa wananunua Viagra wakidhania vumbi la Kongo

Muda wote huo watu waliokuwa wananunua Viagra wakidhania vumbi la Kongo

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi

Usikute ilikuwa unga wa muhogo wanachanganya na Viagra. Mmatumbi ni mtu wa ajabu Sana.

Na CCM itatawala muda mrefu Sana. Mfano mzuri tu kikombe Cha babu. Watu walinyweshwa upuzi.

Mjerumani arudi tu. Mboko na mijeledi Ndo dawa pekee ya kutuendeleza.

Isingekuwa kudra na huruma za mwenyezi Mungu tungeshaangamia na kupotea kabisa. Ndio maana hata kipindupindu kimeshindwa kutuangamiza.

At least we can change but the situation is getting worse and intensifying as days go on.

Better to commit suicide and forever avoid what's going on in our country.
 
Siku ambayo wanaume hasa vijana marijali watakapojua kuwa hauwezi kushindana na ulipotokea ndio haya mauijinga yatakapoisha. Just imagine mtoto na ukubwa wake wote ule alionao anapozaliwa anapita halafu eti wewe unakuja na upuuzi wako eti sijui vumbi la kongo kutaka kukomoa kama sio ujinga ni nini.

Wasichojua watu wengi na hasa vijana wa siku hizi kuwa ngono ni sanaa kama sanaa nyingine. Kama kulivyo na wasanii mahiri, wacheza mpira mahiri, wacheza sinema mahiri, n.k ndivyo hivyo ilivyo kwenye tendo la ngono. Kwa hiyo watu badala wajikite kwenye kujifunza namna nzuri ya kuifanya sanaa ya ngono/tendo la ndoa wao wanakimbilia "short cut" ya kunywa madawa ambayo hata hawayajui asili yake wala madhara yake huko mbele ya safari. Uzuri kwa hivi sasa mtu yoyote anaweza kuingia mtandaoni na kujifunza namna nzuri ya kumridhisha mwenzi wake.

Kwa baadhi ya vijana wachache sana wenye matatizo ya urijali na wazee walio wengi wakitumia hayo madawa sijui vumbi la kongo kwao haina shida maana mnara hasomi network vizuri. Mbaya ni kwa vijana hasa wale wasio na matatizo yoyote kuanza matumizi ya hayo madawa mwisho wake wake sasa ni kupata matatizo makubwa sana huko mbele ya safari bila sababu za msingi.

Kikubwa kwa wanaume wote fanya mazoezi ya kutosha, kunywa maji yakutosha na kula chakula mlo kamili kila kitu kitakaa vizuri kabisa.
 
Waende mpaka na kwenye AL KASUSI na jamii nyinginezo ili kuona kama ni 100% Herbal au kuna viambata vya Viagra ndani ya mchanganyiko wake.
 
Back
Top Bottom