Muda wowote club ya Simba SC inaweza kumtangaza Florent Ibenge Raia wa Congo kama kocha wao mkuu

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,399
Reaction score
8,594
Kuna tetesi kuwa muda wowote club ya Simba SC inaweza kumtangaza Florent Ibenge Raia wa Congo kama kocha wao mkuu.

baada ya kuvuja kwa picha akionekana akifanya mazungumzo na mtendaji mkuu wa Simba SC Barbara Gonzalez.

Ibenge (59) kwa sasa ni kocha mkuu wa timu ya taifa ya Congo DR inayoshiriki michuano ya CHAN 2020 nchini Cameroon.

Lakini pia ni kocha mkuu wa club ya AS Vita inayotarajiwa kucheza mchezo wa kwanza wa Kundi A February 12 2021 club Bingwa Afrika Kinshasa Congo DR
 
Wana msimbazini izo ni tetesi zinazoendelea na jana Ibenge hakuwa kwenye benchi la ufundi wakati congo ikipepetana na Libya.

 
Hiyo ofa ameichomoa maana mkataba wake Ac Vita bado unambana amesema hadi msimu uishe kama wanamtaka kwa hiyo anayetambulishwa leo siyo huyo

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Ibenge misimu mitatu iliyopita ameishia makundi na AS Vita yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…