OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Jana hakuwa katika form hata kidogo!Ni mchezaji mzuri mzawa nadhani akifanyia kazi hili tatizo atakuwa bora zaidi
Acha tu kuwahi, ana mke mzuriiiiiiiii hatari!Mudathir ni handsome boy sanaa, sijui kwanini kawahi kuoa.
We mpe tu kwani kuoa kitu ganiMudathir ni handsome boy sanaa, sijui kwanini kawahi kuoa.
Haimaanishi namtaka mkuu😂 mchumba angu ni handsome muda akasome.Acha tu kuwahi, ana mke mzuriiiiiiiii hatari!
Pole mwaya.
Dah! sisi wenye sura za koroshoHaimaanishi namtaka mkuu😂 mchumba angu ni handsome muda akasome.
Akicheza Mara kwa Mara atarekebisha namna ya kupiga mashuti .Pengine huenda ndio maana GAMOND hapend kumtumia huyu bwana mdogo tangu nimjue kila shuti analopiga huenda juu usawa wa paa la mkapa ila kiufundi namfananisha na chatu ambaye huwa anatabia ya kubana sehemu na kuvizia kitoweo kijisahau kisha kukivamia haraka na kukimezea huyu jamaa anakipaji cha kukaba na kupokonya mipira kwa haraka kama upepo
na jana umeona?Akicheza Mara kwa Mara atarekebisha namna ya kupiga mashuti .
Kuna mechi ya nbc hivi karibuni alifunga kwa shuti .
Kuna mechi ya Tp Mazembe nabi alimtumia namba 10 akafunga goli zuri sana kwa shuti .
Amefanya vitu sahihi kwa wakati sahihi , bado anaendelea kujifunza lakini huyu dogo anakitu azidi kupewa nafasi atafanya vitu vikubwa .na jana umeona?
kweli kama alivyonipenyeza jana nikashangaa Simu inapigwa nikajua tyr Dogo ashafanya yake...Pengine huenda ndio maana GAMOND hapend kumtumia huyu bwana mdogo tangu nimjue kila shuti analopiga huenda juu usawa wa paa la mkapa ila kiufundi namfananisha na chatu ambaye huwa anatabia ya kubana sehemu na kuvizia kitoweo kijisahau kisha kukivamia haraka na kukimezea huyu jamaa anakipaji cha kukaba na kupokonya mipira kwa haraka kama upepo