Muelekeo wa kozi ya Aircraft Eng Tanzania

kama una pesa ya kulipa bila bodi kukupa mkopo nenda kasome
 
Tatizo ni ada.ada kwa hii kozi iko juu sana kuliko coz zingine za uhandisi.
 
By the way ukisomea uwalimu utakufa maskini, tuna, mshahara laki tano, ndio kazi gani hiyo
Mshahara hauwezi kukufanya kuwa tajiri hats ungelipwa milioni 100 kwa wiki. Mipango yako ndio itakuondoa kwenye umaskini. Mshahara ni kichocheo tu a.k.a catalyst ya uwekezaji au biashara yako
 
Waambie ukweli.

Mimi nimetoka familia ya kawaida sana ila katika chaguzi juu ya course ya kusomea chuo kikuu sikuwahi fikilia kusomea ualimu, najua fika ningefosiwa kusoma ualimu nisingekuwa mwalimu bora.Ifike wakati tuseme ualimu ni taaluma inayohitaji watu makini na wenye maono na sio kila mtu akimbilie tuu kisa ni mtt wa mkulimu na hii ndo inapelekea kukosa walimu bora
 
This is absolutely fine
Ila huwa najitahidi sana maishani mwangu kutoongozwa na theory.
Kiukweli hilo unaloliongea ni theory kwa asilimia za kutosha tu. Twende kwenye uhalisia sasa, hivi unafikiri wanafunzi wanashindwa au hawana uwezo wa kusoma kozi hizo au ni tatizo la kiuchumi kugharamia makozi hayo???
MTU akifikiria ada ya Chuo na uhakika wa ajira woteee wanajitosa ualimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…