Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Kama ilivyo ada kuanzia kesho kutakuwa na muendelezo wetu wa Mada ya JF hard talk,
Tulishahoji baadhi ya member wengi sana kupitia mada hii kama kina FaizaFoxy @Da'Vinc Malcom Lumumba zitto junior Mshana Jr na wengine wengi, wametufundisha mengi kupitia maswali na Elimu zao walizotupatia,
Kuanzia kesho tutaendelea na mada tajwa hapo juu.
Wafutao niwaombe mmoja wao kuwa muhojiwaji au Host kwenye muendelezo wa mada tajwa juu hapo kesho.
1: pascal mayalla
2: @Maxcence Mello (founder wa Jamii forum)
3: Kiranga
Lengo ni kujua mengi kukuhusu,mengi unayojua kuhusu jamii na kutupa ile Elimu ambayo mwenyezi Mungu amekujalia.
Majina tajwa hapo juu mmoja tunaomba adhibitishe uwepo wake kwenye mada kama atakuwa na muda, ni kuanzia saa moja kamili Usiku.
Cc Zero IQ