INAUZWA muendelezo wa mauzo ya viwanda!!hati mlangoni kwako.

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
6,016
Reaction score
5,296
Salaam!!!
Kampuni yetu inaendelea kuuza viwanja vilivyoko puna kigamboni,viwanja vimepimwa na viko mita 400 tu kutoka kwenye ufukwe wa bahari ya Hindi.
Vina ukubwa tofauti kuanzia sqm.400 mpka 1200..
Bei:ni sh 8000 kwa sqm.
Malipo yatafanyika hata kwa installments.
Karibuni sana tuijenge kigamboni Mpya.
Kwa mawasiliano zaidi ni pm!!
"TWENDE ZETUNI KIGAMBONI"
 
Ahsante mkuu tutakaribia, ngoja nizichange
 
Nakuomba jaribu kupitia vizuri uzi wako, kuna sehemu nyingi zinasomeka VIWANDA, anza na kichwa cha habari
 
Nakuomba jaribu kupitia vizuri uzi wako, kuna sehemu nyingi zinasomeka VIWANDA, anza na kichwa cha habari
Shukrani mkuu heading nitaomba mods wanisaidie kurekebisha,hii smartphone inajifanya kuwa smart zaidi yangu!!
 
Kigamboni ni kubwa,fafanua.zaidi
 
Kigamboni ni kubwa,fafanua.zaidi
Soma vizuri eneo lipo..panaitwa puna ni Mbele ya kimbiji kata ya Pemba mnazi mtaa wa puna centre manispaa ya kigamboni mkoa wa dar es salaam.karibu.
 
Viwanja bado vipo wakuu
 
vina hati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…